Mimi Raila Amolo Odinga, naambia Rais Uhuru Kenyatta wazi ya kwamba
aache hasira na ajue siwezi tishwa kamwe; na kwa Naibu wake Ruto - acha
matusi. Hata hiyo Kamiti wanaosikia hawajui iko namna gani - ni mimi
mwenyewe ndiyo najua venye ndani yake iko. Wakitaka kuona cha mtema
kuni, kesho waje wajaribu za ovyo. Narudia ya kwamba hela za Eurobond
hakuna Mkenya mwenye amenukia harufu yake hata kidogo ~ RAILA ODINGA
No comments:
Post a Comment